AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

AMAZING...... FLAAAANI HIVI:
AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

Saturday, November 28, 2015

Chris Brown anaisogeza ‘Fine By Me’ kutoka kwenye Album yake mpya – (Audio).

Baada ya kutoa performance iliyowafuraihsa mashabiki wake wengi kwenye kipindi cha The Tonight Show, Chris Brown amerudi kuzikamata headlines za weekend hii na single nyingine inayopatikana kwenye Album yake mpya ROYALTY.

Wimbo unaitwa Fine By Me na ndani yake umebeba miondoko fulani ya miaka ya 80 yenye mchanganyiko wa Pop kwa mbali… ndani Chis Brown anasikika akiimba, “She only loves me when the lights are out, lights are out / She only loves me when the sun is down, sun is down / She only loves me when no one’s around, no one’s around / She only loves me cause I put it down / And it’s fine by me”

Kama wewe ni shabiki mkubwa wa C Breezy ipokee hii mpya kutoka kwake

No comments:

Post a Comment