AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

AMAZING...... FLAAAANI HIVI:
AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

Thursday, October 2, 2014

Kundi la Weusi linatarajia kuanza kuachia video za nyimbo zake mpya



Kundi la Weusi linatarajia kuanza kuachia video za nyimbo zake mpya hivi karibuni. Msemaji wa kundi hilo, Nick wa Pili amesema kuwa video ya kwanza kutoka itakuwa ya Joh Makini.
“Tunatoa video ya ‘I See Me’ ya Joh Makini, halafu tunatoa video ya ‘Sitaki Kazi’ ya kwangu halafu tunatoa video ya Majinaa ya G-Nako,” amesema. ‘Sitaki Kazi’ na ‘Majinaa’ zimefanyika Arusha lakini ‘I See Me’ imefanyika Nairobi lakini director aliyezifanya ni mmoja ambaye ni Enos Olik,” ameongeza.

No comments:

Post a Comment