AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

AMAZING...... FLAAAANI HIVI:
AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

Thursday, August 14, 2014

Aliekuwa mke wa Afande Sele "Mama Tunda" Afariki Dunia

Aliekuwa mke wa Afande Sele "Mama Tunda" Afariki Dunia

Aliekuwa mke wa zamani wa msanii wa hiphop Afande Sele  "Asha" (Mama Tunda) amefariki dunia leo hii
afande sele akiwa na familia yake, kushoto ni mtoto wake (Tunda), mtoto mdogo aliemshikilia ni Asantesanaa, Afande Sele na marehem mzazi mwenzake Asha, maarufu kama "Mama Tunda"

habari hizo zimetolewa na Afande Sele mwenyewe kupitia ukurasa wake wa facebook 



Ndugu zangu!! Nimefiwa na Mzazi mwenzangu (Asha) /mama wa wanangu (mama Tunda) ..ni pigo kubwa kwangu na wanangu. SISI NI WAJA WA MWENYEZI MUNGU NA HAKIKA KWAKE TUTAREJEA; MUNGU AMPUMZISHE PEMA.

mungu ailaze roho ya meremu mahali pema peponi...amen

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOITEKA MWANZA KWENYE FIESTA; NI SHIDAAAAH! (VIDEO) Dk34:28 Watch & Downloa


CANAL - RUDI (New AUDIO) Download


RECHO - NARINGA (New AUDIO) Download