AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

AMAZING...... FLAAAANI HIVI:
AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

Friday, June 13, 2014

Kelly Rowland-The game (Official Video) Watch


Tyga-Hookah ft.Young Thug (New video) Watch


#NEWS: TIMES FM (@TimesFMTZ) yachangia chama cha Albino Temeke shilingi milioni 3

Albino wa Temeke wapewa msaada na Times FM_full
100.5 Times Fm Radio imetoa kiasi cha shilingi milioni tatu kwa albino wa wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kama sehemu ya mchango wao kwa jamii hiyo yenye ulemavu wa ngozi inayokumbwa na changamoto nyingi.
Katibu wa Kampuni ya Times Fm Radio, Amani Joachim ameukabidhi uongozi wa chama hicho hundi halisi akiwa ameambatana na Aluta Warioba (Meneja Vipindi Msaidizi) na Mzee Chapuo kutoka katika idara ya ubunifu.
Amani Joachim aliwaomba wapokee kiasi hicho kwa kuwa bado Times Fm itaendelea kushirikiana nao katika kupambana na changamoto zinazowakabili na kuhamasisha jamii kuendelea kuonesha upendo kwa walemavu.
Baada ya kupokea hundi halisi ya kiasi hicho cha fedha, mwenyekiti wa chama cha Albino Temeke, Khasim Kibwe alitoa shukurani zake kwa chombo hicho cha radio na kueleza kuwa fedha hizo zitasaidia sana katika kununua mafuta maalum ya ngozi kwa wanachama wake.
“Kwanza nafurahi sana kwa kutujali sisi Albino. Lakini vilevile wito kwa jamii nao waige mfano huu wa  100.5 Times Fm nao waweze kuwachangia watu wenye albinism. Baada ya kuwa kiongozi, nakumbuka hata mlipotushirikisha katika mpira mwaka 2008 tuliona urafiki wenu wa karibu, vilevile sasa tunauona urafiki wenu umekamilika zaidi. Ni watu ambao mnajali watu wenye mahitaji maalum.
“Jamii iendelee kusikiliza Times Fm na wale wenye mahitaji wengine basi waipende Times kwa kuwa inapenda watu wa aina zote.” Amesema bwana Kibwe.
Viongozi wengine wa chama hicho waliokuwepo ni pamoja na muweka hazina, Said Ndonge na katibu wa chama, Gaston Mcheka.

FLAVANITE JUMAMOSI hii inamdondosha Mo MUSIC MzaLendo PUb, MiLLennium tOwers kupiga bonge la SHOW

Screenshot_2014-06-11-10-02-31-1
Msanii Mo Music anayekuja kwa kasi sana hapa Bongo Jumamosi hii anatarajia kufanya bonge moja la show ndani ya Millennium Tower kwenye  Flavanite.

Heri Muziki- NAkukumbukaga(New Audio) Dawnload


Mr Blue-Mapenzi(New audio) Dawnload