AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

AMAZING...... FLAAAANI HIVI:
AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

Friday, September 12, 2014

Tyga - Real Deal [Official Music Video HD) Dawnload & Watch


| Bahati - Barua (New AUDIO) Download


MTOTO NA MAMA CAMPAIG!

                                            MTOTO NA MAMA CAMPAIG!
Mtoto na mama campaign ni kampeni ilianzishwa na vijana wa kitanzania
kutoka mkoa wa ruvuma ambao ni wasanii wa muziki wa kizazi kipya.
Wasanii hao waliamua kuanzishisha kampeni hii ili kukutanisha mawazo ya vijana mbali mbali na watu wote kiujumla katika kutetea haki za watoto na akina mama.
Wasanii hao wameanza na wimbo unaoitwa MTOTO NA MAMA ili kutia chachu kwa watu mbali mbali ili waweze kuungana kuinua kampeni hii ambayo imeanzia mkoa wa ruvuma.
Wasanii waliohusika katika wimbo wa mwanzo ni PRODUCER BIG DILLA - EMG RECORDS pia wasaniinwa HIP HOP amabo ni EDDY MC (fundi vina) DAKTA NER na ABDUL MATRIX  pia imehusisha msanii wa kuimba GEM RYNE katika kiitikio..
Vijana hao wanaomba nguvu kutoka kwa serikali na asasi zote zisizo za kiserikali kuunga mkono.kampeni hii..
MTOTO HANA HAKI YA KUUSISHWA KATIKA AJIRA YOYOTE MTOTO ANA HAKI ZOTE ZA KUPATA ELIMU...
Mtu yeyote anaweza kuunga mkono kampeni hii
Mawasiliano haya 0755711713 moja ya wajumbe wa kampeni ya mama na mtoto

Mb Dog - Herufi Kuu (New Audio) Dawnload


Man Water & Mbatizaji - Wife Material (New Audio) Dawnload


Mishon Ft. Tyga – Conversation (New Audio) Dawnload


G-Unit – Pump Pump (Freestyle) Dawnload


Wiz Khalifa – Try Me (Remix) Dawnload


Kid Ink Ft. Usher & Tinashe – Body Language (New Audio) Dawnload