AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

AMAZING...... FLAAAANI HIVI:
AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

Saturday, July 5, 2014

SELEBOBO FT DAVIDO - OROMA BABY RMX(NEW AUDIO) DAWNLOAD


CHID BENZI FT BOB JUNIOR - MAHABA NIUWE(NEW AUDIO) DAWNLOAD


CHID BENZ FT OMMY DIMPOZI - SALAAM(NEW AUDIO) DAWNLOAD


Audio: Hiki ndicho kilichosababisha kudundana kwa Watangazaji wa XXL

Audio: Hiki ndicho kilichosababisha kudundana kwa Watangazaji wa XXL

Kama ulivyosikia katika kile kilichotokea siku ya jumatano (June 2) katika kipindi cha xxl kupigana kwa watangazaji watatu wa kipindi hicho Fetty, B12 na Adam Mchomvu, ndani ya dakika chache sauti ikasambaa kwa mamilioni ya watanzania, kiufupi zoezi hilo halikuwa na uhalisia wowote kwa watangazaji hao, 
bali ni katika kuwaelimisha watanzania kupaza sauti pale ambapo kitu kisichokizuri katika jamii inayotuzunguka ni muhimu sana kupaza sauti haraka.


kama mtu mmoja unauwezo wa kupaza sauti na kuiweka nchi yetu katika Amani, basi kwa kila kinachohatarisha amani  kinachototokea , mtaani kwetu, iwe ni kwa rafiki ndugu jamaa ama mtanzania mwezako, basi paza sauti kwa uzito kama huo ulioonekana siku ya juma tano, ukimya hausaidii

Steezy ft waupe Pyee - Twende Party (New Audio) Download


J. Martins - Faro (Official Video) Watch & Dawnload


Huyu ndio msanii mwingine kutoka Tanzania anaeshiriki Coke Studio 2014

Huyu ndio msanii mwingine kutoka Tanzania anaeshiriki Coke Studio 2014

Kama unakumbuka mwaka jana Diamond Platnumz alishiriki katika kipindi cha TV cha Coke Studio akiwa pamoja na victoria kimani kutoka kenya na wasanii wengine kutoka Africa.
Mwaka huu wametoka wasanii watatu watakao shiriki Coke Studio akiwemo Vanessa Mdee, Diamond pamoja na Joe Makini kutoka Weusi... Joe makini ameongea ...... msikilize zaidi hapo chini 


"hizo taarifanilipigiwa simu sasa hivi nafkiri a week imeisha toka nimetaarifiwa, nilipigiwa simu kwanza tukaongea, halafu  taratibu za kwenda nairobi zikaanza toka jumatatu na naondoka jumapili na ndege ya saa nne za asubuhi.
Naichukulia kama moja kati ya hatua nzuru tunazopiga kama joe makini Weusi na kama watanzania kwasababu hii platform yakekidogo  nikubwa tofauti na show ambazo nimekuwa nikifanya, kwahivyo naichukulia kama nafasi nyingine nzuri kubwa ambayo mwenyezi mungu amenipa na ambayo natakiwa niitumie vizuri ili niweze kupiga stepp nyingine kubwa zaidi.
Nitaenda mimi na G Nako kwasababu nimepewa nafasi ya kwenda na mtu mmoja tu, so G ni mtu ambaye nafanya nae vitu vingi mara nyingi so akiwa pembeni vitu vingi vinakuwa ni rahisi? 

NEW VIDEO:B.O.B & Michazaro – Shut Up (Kimya)


MICHARAZO B.O.B - SHUTUP Kimya (New Audio) | Download


SHISHI BEBY[Shilole] - Namchukua (New Audio ) Download


Yung Sizza - Hainaga Shida (New Audio) Download


Shaa-Subira (New Audio) Dawnload