AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

AMAZING...... FLAAAANI HIVI:
AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

Wednesday, July 2, 2014

SHEY MAN - KOKAN'AYE (NEW AUDIO) DAWNLOAD


TRIPLE MG FT IYANYA,EMMA NYRA,BASI,TEKNO & SELOBOBO - SAY YEAH(OFFICIAL VIDEO) WATCH & DAWNLOAD


BUSTA RYMES FT EMINEM - CALM DOWN (NEW AUDIO) DAWNLOAD


KETCHUP FT BANKY W - COCO BANANA (NEW OFFICIAL VIDEO) WATCH & DAWNLOAD


YOUNG JEEZ FTJAY Z - SEE IT ALL(NEW AUDIO) Dawnload


Sitiky ft Kijo - Maisha Yake (Official Video) Watch & Download


Baada ya ushindi wa Tuzo za BET Davido afanya callable na Meek Mill

Baada ya ushindi wa Tuzo za BET Davido afanya callable na Meek Mill

 Katika kile alichokiandika mshindi wa Tuzo za BET "Davido" kutoka Nigeria hakuna shaka kuwa ameshafanya collable na msanii wa May Bach Music, Meek Mill.
Kupitia account yake ya instagram, davido alimuanidkia Meek Mill kuwa hawezi kusubiri kusikia kazi yao imetoka baada ya Mill kumpa hongera ya ushindi wa tuzo ya BET "Best International Act" Africa



Dogo Janja arudi Tiptop baada ya kuomba msamaha

Dogo Janja arudi Tiptop baada ya kuomba msamaha

Msanii Dogo Janja ambae aliondokaTiptop kwa kishindo na kufanya kazi na Ustaz Juma na Musoma, amerejea tena kambini (Tiptop) baada ya kuona maisha ya mtaani ni magumu
Akielezea kurudi kwake ndani ya Tiptop Madee amesema 
"Mi nilipigiwa simu na babu tale pamoja na Fela kwamba Abduli amekuja, kama miezi miwili imepita, amekuja anasema mkae myamalize, mi nikawaambiwa aah mbona mi sina tatizo, kwasababu mi mbona naongea nae, kwasababu akiwa na tatizo lake ananitumia meseji ananiomba ushauri, sema tu kwa maswala hayo ya kazi sijawahi kuongea nae chochote.

kuna siku alifanya interview namillard alisema. alitubu mambo aliyokuwa anayaongea kwamba ulikuwa ni utoto, na kweli mi nikaangalia kwa haraka haraka umri aliokuwa nao mwanzo na sasa hivi ni vitu viwili tofauti.
jana pia nikakuta hizo taarifa nikawaambia mbona mi sina tatizo, tukamuita maskani jana tukaongea nae fresh, basi mpaka sasa hivi tuko nae, lakini bado hakuna vitu vingi vinavyoendelea, bado mapema sana, tukishakuwa tayari tutawaambia, lakini ukweli ni kwamba Abduli, Dogo Janja amejoin tena kwenye connection yetu , hicho ndio cha msingi, mengine yote tutawapa taarifa"

Dogo Janja pia nae pia alifunguka sababu za kurudi tena kwenye kambi yake aya mwanzo 

"kwasababu kwanza kuna vitu ambavyo namiss katika mziki wangu na pia nimemiss familia yangu ya mwanzo, kuna vitu ambavyo vinamiss katika mziki wangu hata watu wangu wanaona, nakuwa niko tofauti sana na mazingira ya mziki, sawa naweza kuwa na record sana lakini nyimbo naweka ndani tu, lakini tofauti na huku unapangiwa labda utatoa ngoma hii uutatoa ngoma hii hivyo tu"

kuhusu yeye na Ostaz Juma na Musoma

"Mkataba tu uliisha, tuko poa ila mkataba wangu mi na yeye uliisha, tuko fresh" amesema Dogo Janja

Matalent ft Rich mavoko - yananichanganya (New Audio) Download


BLACK FARHAN - VAI VAI ( New AUDIO) Download


T-Obay feat Iyanya - Commander (Official Video) Watch & Dawnload


TMB FT GENTRIEZ - NIPO MBALI NA HOME (New AUDIO) Download


SNAIDA - MUHTASARI WA HABARI (New AUDIO ) | Download









9

Sikiliza hapa ugomzi uliotokea dakika 5 kabla ya Show ya XXL Clouds Fm kumalizika Julai 02

Sikiliza hapa ugomzi uliotokea dakika 5 kabla ya Show ya XXL Clouds Fm kumalizika Julai 02




Kilichosababisha haya yote ni mabishano ya mauzo ya album ya Fiesta ambayo kila mmoja alikua anataka aiandae alafu aiuze yeye….. ilitokea B12 alisema ni wazo lake lakini kumbe Fetty na Adam nao wanasema waliwahi kuwa na wazo kama hili.

Watangazaji hawa walianza kugombana studio kama wanavyosikika hapa chini

New Audio | Barakah Da Prince - Sio Fine (New Audio) Download @barakahdaprince


Chriss Brown-New Frame (New Audio) Dawnload


Madee - Ni Sheedah(New Audio) Download