Wednesday, June 18, 2014
CPWAA (@Cpwaa) kuipeleka CHEREKO CHEREKO pande za MBEYA iJUMAA hii
CPWAA (@Cpwaa) kuipeleka CHEREKO CHEREKO pande za MBEYA iJUMAA hii
CLUB 71 iliyopo TEGETA KIBAONI Jumapili hii ITAJUTA kuwaona wasanii hawa.
CLUB 71 iliyopo TEGETA KIBAONI Jumapili hii ITAJUTA kuwaona wasanii hawa.
Mchongo uko hivi sasa: Jumapili tukishamaliza kuogelea na familia zetu mpaka usiku pale #Escape2. Basi watu majira flani ya kwenda Club watu tutajivuta TEGETAAAAAAA pale #Club71 kwenye uzinduzi wa video mbili moja ya @gellywarhymes inaitwa #ELEWA halafu ya pili ni ya @hemedyphd video inaitwa IN MY WEDDING DAY.
Yesu wanguuuu sasa wale watoto wakaliiiiiii watazungushwa mduara na mtoto kutoka ZANZIBAR @baby_wamudy huku mabraza men watatupia kama anavyotupiaga @kamikaze_cyrill atakavyopanda kwa steji.
Halafu HOST wako sasaaaaaaa kwa mara ya kwanza kuwa Host wa show za Club nitakuwa mimi mwenyewe DJ CHOKA aka MR APPETITE hahahaaa #niSHIDAAAAA #Kiruuuuuuu USIKOSE
Subscribe to:
Posts (Atom)