Wednesday, April 30, 2014
BY MORE!
KIONJO | DogoJanja Janjaro - Bila Sababu
3:59 PM MORE
Click HAPA kudownload KIONJO cha wimbo mpya wa Dogo Janja AKA Janjaro kwa jina "Bila Sababu" ikiwa imefanywa Studio za Noizmekah Arusha na kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na Janjaro kwa Nambari +255 714 444 484
powered by www.vmgafrica.com
BY MORE!
ew AUDIO | Witnesz & Ochu Sheggy - Think About It | Download
Ukisikiliza ujumbe vizuri kwenye think abou it utagundua kwamba the track inazungumzia juu ya uhusiano wetu kwa asilimia 85% na ni track ambayo tulipaswa kuifanya 2008 lakini kutokana na sababu zisizo weza kuzuilika ikashindikana, kwa kuwa ina version ya Ochu peke yake, Ochu na Fid Q kuanza version nyingne ilishindikana yeye kurekodi alitaka kuifanya na dada mmoja mjini Nairobi but all in all ni kama watu walipotezana halafu wakakutana tena wakati sahihi ulipowadia
Na this track ina very strong histry baina yangu na Ochu beat imetengenezwa na Lucci hata sidhani kama atauua anaikumbuka and tumekuja kuimalizia kwenye an audio studio ambayo oTchunes tunashare inaitwa expensive music by zidady mwamba as the prodcer na its video comming soonest amnayo tumeifany na Lbashir, Badifilmz wa Uganda, and bila kusahau tutafanya a launch ya its video kati kati ya june pia itakua perfomance yetu ya kwanza kama otchunes ambapo ni jina linalobeba muunaganiko wa Witnesz na Ochu Sheggy
Sunday, April 27, 2014
Saturday, April 26, 2014
Tuesday, April 22, 2014
BY MORE!
AUDIO | Lunduno(Shashow,algebra na Hood C feat Cant Didas) - Jifunze Kabla | Download
12:52 AM MORE
Wimbo mpya toka kwa Lunduno ambapo kuna Shashow a.k.a Bammy,Algebra na Hood C wakimshirikisha Cant Didas kutoka Uyoga Boga Vilage.
Artist :Lunduno(Shashow,algebra na Hood C feat Cant Didas)
Song :Jifunze Kabla
Studio :Bokazy Ent (Boyz of Kazy)
Producer :Man DvD
0714 730722
0713 040615
BY MORE!
AUDIO | Mwaka Mzima ft J Deal JamboSquad & MeccaCheka - Iwe Leo | Download
1:24 PM MORE
Bofya HAPA kusikiliza/Download " IWE LEO"
,wimbo wa Mwaka Mzima akiwashirikisha J Deal, JamboSquad pamoja na
MeccaCheka,hii ni Afropop Category kwa hisani ya Noizmekah Production
Studios chini ya Defxtro, kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na Mwaka
Mzima kwa nambari +255 718 441 699
Subscribe to:
Posts (Atom)