AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

AMAZING...... FLAAAANI HIVI:
AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

Wednesday, June 18, 2014

CLUB 71 iliyopo TEGETA KIBAONI Jumapili hii ITAJUTA kuwaona wasanii hawa.

CLUB 71 iliyopo TEGETA KIBAONI Jumapili hii ITAJUTA kuwaona wasanii hawa.

photo
Mchongo uko hivi sasa: Jumapili tukishamaliza kuogelea na familia zetu mpaka usiku pale #Escape2. Basi watu majira flani ya kwenda Club watu tutajivuta TEGETAAAAAAA pale #Club71 kwenye uzinduzi wa video mbili moja ya @gellywarhymes inaitwa #ELEWA halafu ya pili ni ya @hemedyphd video inaitwa IN MY WEDDING DAY.
Yesu wanguuuu sasa wale watoto wakaliiiiiii watazungushwa mduara na mtoto kutoka ZANZIBAR @baby_wamudy huku mabraza men watatupia kama anavyotupiaga @kamikaze_cyrill atakavyopanda kwa steji.
Halafu HOST wako sasaaaaaaa kwa mara ya kwanza kuwa Host wa show za Club nitakuwa mimi mwenyewe DJ CHOKA aka MR APPETITE hahahaaa #niSHIDAAAAA #Kiruuuuuuu USIKOSE

No comments:

Post a Comment