AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

AMAZING...... FLAAAANI HIVI:
AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

Friday, September 5, 2014

Q CHIEF-Nipende Nikupende (New Audio) Dawnload.

                  
                         Q CHIEF MWENYEWE ALIKUWA NA HAYA YA KUSEMA


Kwa  miaka mitano nimekuwa kimya  kwenye radio na anga ya muziki ikiwa ni  sehemu ya kuyapitia maisha mengine  nje ya muziki but  thanks to God kupata mkataba mkubwa QS MHONDA ENTERTAINMENT kunirudisha tena  kwa nguvu  zote  kwa watanzania wangu waliomisi mziki mzuri toka kwangu nasubiri muda tu niachie  muziki mzuri  kama ilivyokuwa mwanzo  na zaidi ya mwanzo ni zaidi ya Q Chief  wanayemjuwa

No comments:

Post a Comment