AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

AMAZING...... FLAAAANI HIVI:
AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

Monday, August 25, 2014

Ziangalie picha tatu kutoka kwa Jaguar ambazo zinaisumbua mitandao ya kijamii kwasasa...

Hizi ni picha tatu kutoka kwa Jaguar ambazo zinaisumbua mitandao ya kijamii kwasasa...

Moja ya habari ambazo zimetapakaa kwenye mitandao ya kijamii kwasasa ni pamoja na hii ya Jaguar 
msanii kutoka nchini kenya kufunga ndoa, ila ukweli ni kwamba 
hizi picha ni behind the scene ya video yake mpya ambayo inatoka Jumatatu ya leo August 25 2014.


No comments:

Post a Comment