AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

AMAZING...... FLAAAANI HIVI:
AMAZING...... FLAAAANI HIVI:

Friday, June 20, 2014

Balotelli adau kiss ya shavuni kutoka kwa Malkia wa Uingerezi kama akiisaidia Italy kuifunga Costa Rica

Balotelli adau kiss ya shavuni kutoka kwa Malkia wa Uingerezi kama akiisaidia Italy kuifunga Costa Rica

Baada ya England kutandikwa mabao 2 - 1 na Uruguay, Tim hiyo inaitegemea Italy kuifunga Costa Rica katika mechi ya leo ili wajinasue kwenye siti ya basi la kombe la dunia waliokaa mwisho kabisa
Kutokana na timu hiyo kuiombea Italy kushinda ili waendelee kubaki kwenye mashindano ya kombe la dunia, Balotelli ametoa mpya baadaya kudai kiss la shavuni kutoka kwa Malkia wa Uingereza kama ataisaidia Italy kuifunga Costa Rica.
Hiki ndicho alichoki-tweet Baloteli.



"If we beat Costa Rica I want a kiss, obviously on the cheek, from the Uk Queen"
.

No comments:

Post a Comment